Southgate Member Joined Aug 17, 2013 Posts 61 Reaction score 27 Nov 25, 2019 #1 Habari Wakuu, Nimevutiwa sana na hizi gari za Peugeot, naomba kupata taarifa kadhaa kuhusiana na hizi gari ikiwemo uimara wake na upatikanaji wa vipuri (spare parts) zake kwa hapa Tanzania.
Habari Wakuu, Nimevutiwa sana na hizi gari za Peugeot, naomba kupata taarifa kadhaa kuhusiana na hizi gari ikiwemo uimara wake na upatikanaji wa vipuri (spare parts) zake kwa hapa Tanzania.
Ziroseventytwo JF-Expert Member Joined Mar 27, 2011 Posts 8,581 Reaction score 15,618 Nov 25, 2019 #2 Nazozikumbuka ni zile za miaka ya 80s. Peugeot 504, 404, 304 505 na 405 familly size. Hii ni gari ya kifaransa. Haina chesses kama magari mengine ya kijapan na kijerumani. Kwa zaidi tumsubirie RRONDO aje kuweka sawa.
Nazozikumbuka ni zile za miaka ya 80s. Peugeot 504, 404, 304 505 na 405 familly size. Hii ni gari ya kifaransa. Haina chesses kama magari mengine ya kijapan na kijerumani. Kwa zaidi tumsubirie RRONDO aje kuweka sawa.