Kwa wanaofahamu uimara na Mapungufu ya za Peugeot

Kwa wanaofahamu uimara na Mapungufu ya za Peugeot

Southgate

Member
Joined
Aug 17, 2013
Posts
61
Reaction score
27
Habari Wakuu,
Nimevutiwa sana na hizi gari za Peugeot, naomba kupata taarifa kadhaa kuhusiana na hizi gari ikiwemo uimara wake na upatikanaji wa vipuri (spare parts) zake kwa hapa Tanzania.
 
Nazozikumbuka ni zile za miaka ya 80s. Peugeot 504, 404, 304 505 na 405 familly size.

Hii ni gari ya kifaransa. Haina chesses kama magari mengine ya kijapan na kijerumani.

Kwa zaidi tumsubirie RRONDO aje kuweka sawa.
 
Back
Top Bottom