Kuna movie moja nimeona kaigiza kawaida tu!
Jamani kwa nini muvi za kibongo Title zake nyingi sana ni za kiingereza wakati muvi ni ya kiswahili?..........
correction plz!Ndibalema, ameshaigiza fukara movie moja alicheza na johari, yeye alikuwa mvuvi masikini, akamuoa johari, baadae akapotelea baharini wakajua amekufa, kijana tajiri akamtokea Johari akamuoa, ndipo baadaye Ray akaibuka na umasikini wake ule ule kutaka kumkomboa mkewe.
Mimi nadhani ni stage of maturity ya industry.
Mpaka pale wasomi watakapoingia kwenye hii fani ndipo tutakapoanza kuona mazuri kwa sasa ni njaa na kujisifu zaidi. Lakini tatizo kubwa la wasomi wanadahani kuigiza huwezi kuwa na digiriii - kila mtu anawaza kuajiriwa - this is bulllll shit !!!!!!!!!!!!!!!!!!! the CCM effect
Jamani kwa nini muvi za kibongo Title zake nyingi sana ni za kiingereza wakati muvi ni ya kiswahili? Pia wanachomekea sentesi za kiingereza broken. Kuhusu ubora wa picha siku wanajitahidi sana ukilinganisha na miaka iliopita.