Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
binafsi mimi napenda sana muvi za kibongo....na mara nyingi napita madukani kununua jina la muvi linanivutia sana....kwa upande wangu na hayo ma title ya kidhungu yanani shika.....kwa mfano best wife...ingekuwa mke bora nisingenunua.....huyo ni mimi faithful na huo ndio ukweli wangulike you name, faithful. unadhani wangapi tanzania hii wanaojua kiingereza. market yao kubwa iko bongo na wengi ni waswahili waliokosa fursa ya kusoma kama, hebu toa upuuzi wa mvuto and be real F..ful.
Hapa ndipo penye point, huwezi kurekodi movie kila week na ukaweza fit scene zaidi ya moja. Watu huwa wanachukua muda sana kama vile kufanya diet ili uendane na scene ya movie hiki si kitu cha wiki moja. Sasa haiingii akili mtu mwenye kitambi na nywele za relaxer huku amenyoa O aweze kuleta uhalisia kwenye scene ya mtu masikini au mtu wa kijijini ni dhahiri akifanya hivyo ataonekana too acting.Heeee heeee wasanii wa Bongo wana mambo, kuna mmoja huyo huwa yupo kwenye tangazo la channel 5 eti anasema yeye akipewa kucheza kama house girl abadani hatofanya huo ujinga kwa hiyo wenyewe wanataka scene za kitajiri au kichangudoa lakini za ukulima au upolisi uhaousegirl au ufungwa hawataki ndio maana daima movi zetu hazitokaa zifike mbali. Kanumba daima anaiga mambo ya kinaija eti anashika na bakora na makobazi kama wa 9ja na jinsi ya kung'aka ni exactly kama wa 9ja. Movi zenyewe zatoka kila week hadi zachosha maana hujaangalia toleo jipya mara zishatoka 3 juu yake.
title za kiengereza zina mvuto kuliko za kiswahili.............wengi tunavutiwa na title..........mfano...MORE THAN PAIN...INGEKUWA ZAIDI YA MAUMIVU ISINGEVUTIA KUNUNUA.
Ndibalema, ameshaigiza fukara movie moja alicheza na johari, yeye alikuwa mvuvi masikini, akamuoa johari, baadae akapotelea baharini wakajua amekufa, kijana tajiri akamtokea Johari akamuoa, ndipo baadaye Ray akaibuka na umasikini wake ule ule kutaka kumkomboa mkewe.
binafsi mimi napenda sana muvi za kibongo....na mara nyingi napita madukani kununua jina la muvi linanivutia sana....kwa upande wangu na hayo ma title ya kidhungu yanani shika.....kwa mfano best wife...ingekuwa mke bora nisingenunua.....huyo ni mimi faithful na huo ndio ukweli wangu
upuuzi wangu mimi kwa raha zangu!
pamoja na muonekano wake siyo mbaya kama akiigiza kama bosi au tajiri, sasa fikiria ray na muhogo mchungu wanaigiza pamoja nani atafaa kuwa tajiri na nani atafaa kuwa mkulima?Kwa wadau mnaofuatilia muvi za kibongo.
Huyu jamaa ni maarufu sana kwenye ulimwengu wa muvi za kibongo anaitwa Rey.
Nashangazwa na kitu kimoja tu.
Hivi hawezi kuigiza katika hali ya kawaida ya maisha au hata kuigiza fukara?
Kila muvi zake ni lazma aigize tajiri tu?
![]()
nafikiri hivyo pia, sasa hivi wanadare hata kwenda singapore kununua vifaa vya movie, big step aheadNaskia waigizaji wa bongo wana pesa kuliko wanamuziki (wabongo).
Mimi binafsi kinacho nichosha hawa jamaa ni hadithi za mapenzi tu amna lingine la maana. Hivi wanaelewa impact za hizi senema zao kwa watoto au la Kha. Si ajabu ndio kitu watanzania wanachofikiria all the time ngono tu, na mambo ya kipuuzi puuzi leo ndio unakuta mijitu ina mitoto hata uwezo wa kuiangalia aina kisha social pressure kwa upande wetu huku welfare. Ujinga mtupu hizi sinema hazi funzi bali zina stigimatize the lifestyle of pathetic people.Kwa wadau mnaofuatilia muvi za kibongo.
Huyu jamaa ni maarufu sana kwenye ulimwengu wa muvi za kibongo anaitwa Rey.
Nashangazwa na kitu kimoja tu.
Hivi hawezi kuigiza katika hali ya kawaida ya maisha au hata kuigiza fukara?
Kila muvi zake ni lazma aigize tajiri tu?
ebu andika na chako tukione usikute ni mtu unaetumia terminologies all over out of places?Mi huwa huyu jamaa ananiacha hoi linapokuja suala la kiingeledha...kwani lazima?
ebu andika na chako tukione usikute ni mtu unaetumia terminologies all over out of places?
then how do you differentiate between good and bad english?siki fahamu ndo maana sikisemi