Mfarisayomtata
JF-Expert Member
- Feb 2, 2012
- 474
- 188
Hesabu ya haraka ya matumizi ni hii,
1. Safari za town kwenda na kurudi 600/10days.
2. Weekend club 40000@wiki.
3. Kuhonga mwanamke pesa ya saloon 20,000@wiki.
4. Nguo mpya ukija 50,000.
5. Simu 150,000-200,000.
Hapo msosi sijaweka. Nyingine ongeza wewe.
Pigeni tu kelele, humu! Mtapokuwa kwenye uhalisia ndo mtajua hizo figure/namba tu! Labda wazazi wenu wawe wanawatumia extra money!
Dah mkuu ushajipangia budget
Nipo mwaka wa 4 sasa mkuu so nna experience na haya masuala nafanya hivi ili kuwapa vijana wangu hali halisi wasifurahi kupita kiasi, huku shida tu.
tutaona kama utanunua hata nguo mpya wewe!!! weh unacheza na hela ya bodi nn!
huku kwetu pasi ndefu zinaitwa LAMPARD. So watu wanapiga lampard zakutosha tu.
Nipo mwaka wa 4 sasa mkuu so nna experience na haya masuala nafanya hivi ili kuwapa vijana wangu hali halisi wasifurahi kupita kiasi, huku shida tu.
Mkuu unamaanisha pesa hua haiingii?
Binary. Ni 101,001,010 or 011 unachagua mwenyewe 2 binary code ya ku2mia