Kwa wanaofurahia boom TU!!

Kwa wanaofurahia boom TU!!

Mfarisayomtata

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2012
Posts
474
Reaction score
188
Hesabu ya haraka ya matumizi ni hii,
1. Safari za town kwenda na kurudi 600/10days.
2. Weekend club 40000@wiki.
3. Kuhonga mwanamke pesa ya saloon 20,000@wiki.
4. Nguo mpya ukija 50,000.
5. Simu 150,000-200,000.
Hapo msosi sijaweka. Nyingine ongeza wewe.
 
Hesabu ya haraka ya matumizi ni hii,
1. Safari za town kwenda na kurudi 600/10days.
2. Weekend club 40000@wiki.
3. Kuhonga mwanamke pesa ya saloon 20,000@wiki.
4. Nguo mpya ukija 50,000.
5. Simu 150,000-200,000.
Hapo msosi sijaweka. Nyingine ongeza wewe.

sina tamaa kiasi ila kwenye suala zima la Pamba hapo full...
 
MIPANGO ITAKUA HIVI....
mpaka namaliza chuo ntahakikisha haya...
-dogo anaenda shule
-ntajitahidi hata kiwanja nipate
-ntabuni miradi,au ka sio kubini ntaandaa mazingira ya miradi hasa baadae
-ntahakikisha najitosheleza kielimu
-matumizi yasiyo ya lazima(starehe) ntajitahidi kuweka kando!!!
IFAHAMIKE KWAMBA MASELA KIBAO WAMEKOSA BOOM..KAMA TUMEPATA TUTUMIE VIZURI TUSIJE JUTA...hayo ni mawazo tu wakuuu......
 
tutaona kama utanunua hata nguo mpya wewe!!! weh unacheza na hela ya bodi nn!
 
Nipo mwaka wa 4 sasa mkuu so nna experience na haya masuala nafanya hivi ili kuwapa vijana wangu hali halisi wasifurahi kupita kiasi, huku shida tu.

yap kaka, inabidi wajiulize kwa nini migomo uwa haishi vyuoni, na mbaya hiyo figure co kwamba unagewa kwa mkupuo, inakuja kwa mafungu, ukitaka kustarehe nayo lazima upulize upepo
 
ha ha ha ha ha!!! keep on dreaming!!hutofanya hata kimoja hapo otherwize baba yako awe fisadi!
 
Dogo Lordvile watu wanamaliza semester hata chupi hajanunua mpya itakuwa kiwanja?? Kweli unaota.
 
hutonunua hata boxer mpya wewe!!! Nani amekwambia hela inatosha hata siku moja!!! Weh njoo huku halafu ujionee mwenyewe...wenzako wanapiga pasi ndefu huku
 
dah chuo shda sana axee dah nashangaa mnafurah
 
huku kwetu pasi ndefu zinaitwa LAMPARD. So watu wanapiga lampard zakutosha tu.
 
ME nawasikiliza tu wanavyohangaika kuipangia bajeti hela ya bodi!! me hapa chuo nimeanzisha biashara ya kukopesha wale waliyoishiwa boom kwa riba na naingiza sanah faida coz mwezi 1 tu watu wanakuwa hawana hela!
 
Nipo mwaka wa 4 sasa mkuu so nna experience na haya masuala nafanya hivi ili kuwapa vijana wangu hali halisi wasifurahi kupita kiasi, huku shida tu.

Mkuu kama uko expirienced na haya masuala si vibaya ukitujuza sie ma-seniour tunaoenda kuanza college life...masuala mazima ya kutumia boom kimaendeleo zaidi.
 
Mkuu unamaanisha pesa hua haiingii?

ukiwa chuo hiyo pesa ni ndogo sana kama hauna source nyingine! Mbaya zaidi kuna wakati haiji timely! Ndo maana mnaona watu wanaandamana kila wakati! So be wise katka matumizi na ku find more sources!
 
Back
Top Bottom