Kwa wanaohitaji Line za Safaricom zimefika Tanzania

Line zimeisha ...sijajua lini zingine zitakuja...ila kama una shida nayo unaweza nicheki kwa wakala anapatikana Moshi na nitakupa no zake muwasiliane kwa biashara zaidi.

Kama zitakuja mpya mtapata taarifa hapa hapa kwenye thread hii asante sana...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
uafanya biasara halafu unataka tukubembembeleze kujua matumizi yake?...pole!
 
Serikali ingilieni Kati ufirauni huu Safaricom na Tanzania wapi na wapi?
Serikali ya TZ ijirekebishe iruhusu Paypal kama Kenya.

Tunakosa fursa nyingi za kibiashara. Binafsi napata tenda za kuwatengenezea system ya kupokea malipo online kwa paypal watu wa biashara ya utalii inashindikana.

Nataka kuuza kazi zangu hadi nje kama freelancer malipo kwa paypal inashindikana.

Serikali inaweza kukusanya kodi fedha za kigeni ikijipanga ktk hili.

CC: Mh. Magufuli, Governor Luoga, Philip Mpango.
 
Yap bila kujiongeza mzee utapitwa na mengi sana. PayPal ni world wide afu eti bongo haifanyi kaz...mambulula wasiojielewa ndio wageni kwenye hizi mambo. Jitu lina simu ya laki 5 lakini kwa ajili ya kuchat ujinga tu,hata kugoogle PayPal ni nini hawezi anakuja kupayuka ovyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Serikali inaweza kukusanya kodi fedha za kigeni ikijipanga ktk hili.

CC: Mh. Magufuli, Governor Luoga, Philip Mpango.
Kungepatikana watu wa ku-push enzi za Muungwana JK, ingewezekana kabisa lakini leo hii ambapo JPM kila mtu anamuona mwizi kasoro yeye na Daud tu; sio kazi ndogo serikali hii kuwashawishi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…