Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 6,974
- 8,750
Zinasajiliwa kwa jina gani? Nani anasajili? Kwa kitambulisho gani?Tomaa Mireni,
Weka matumiz yake hapa hadharani,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zinasajiliwa kwa jina gani? Nani anasajili? Kwa kitambulisho gani?Tomaa Mireni,
Weka matumiz yake hapa hadharani,
Utapeli mtupu unauziwa line jina la usajili Vicent Githuku. Siku unaweka pesa wakenya wanafyonza mapema asubuhi. Na huna Cha kumfanya, maana jina sio lako.Achana na akili za ki-ccm hizo. Watu wanafikiria namna ya kurahisisha kupokea fedha na kulipia vitu au huduma (kwa kuwa mazingira ya hapa sio rafiki) wewe unafikiria kutukana na hicho mnachokiita uchochezi!
Duuh mtihani huu.Haitakusaidia kitu. Safaricom na wao wamepigwa pin kufanya transactions za Paypal nakadhalika
Hizi nazo kazi pia au unahisi kazi ni kuzibua vyoo tuUtapeli mtupu unauziwa line jina la usajili Vicent Githuku. Siku unaweka pesa wakenya wanafyonza mapema asubuhi. Na huna Cha kumfanya, maana jina sio lako.
NB: vijana fanyeni kazi.
Mkuu hii ni lini? Maana jana asubuhi nimefanya transaction ya PayPal to Safaricom na ilikuwa tu successfully kama kawaida.Haitakusaidia kitu. Safaricom na wao wamepigwa pin kufanya transactions za Paypal nakadhalika
Mkuu waswahili wanasema usimuamshe aliye lala maana utalala wewe. Watu wengine always wapo negative tu.Hizi nazo kazi pia au unahisi kazi ni kuzibua vyoo tu
Utapeli mtupu unauziwa line jina la usajili Vicent Githuku. Siku unaweka pesa wakenya wanafyonza mapema asubuhi. Na huna Cha kumfanya, maana jina sio lako.
NB: vijana fanyeni kazi.
Wakikuyu si mchezo chief.Haaa haaa eti Vicent Githuku ... mkikuyu kabisa sio [emoji1][emoji1]
Ni kweli mwenyewe natamani kujuaZinasajiliwa kwa jina gani? Nani anasajili? Kwa kitambulisho gani?
PoaNahitaji mimi
Kama hujapata nichek DMWe jamaa bado upo ama uliondoka na mwendazake? Nahitaji sim card ya Safaricom.