gumya
Member
- Mar 4, 2015
- 92
- 28
Mkuu, kuna uwezekano wa kutuma pesa kutoka Safaricom Mpesa kwenda Vodacom Mpesa?[emoji106]View attachment 1106156
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, kuna uwezekano wa kutuma pesa kutoka Safaricom Mpesa kwenda Vodacom Mpesa?[emoji106]View attachment 1106156
Ukitumia VPN utakula kambi ya wakimbizi mkuu! No need of using VPN & Fake gps...Mkuu, wakati wa kufungua akaunti ya Paypal au ku login kama umelink na Safaricom Mpesa ni lazima utumie VPN kuonesha upo Kenya?
unarahisisha kuwapa ulaji wenye benki zao maana ku Deposit huwa rahisi kama kumsukuma mlevi ila ku Withdraw sasa ndio utakapojua nini kilimpa kanga vidoti doti.KWANI NIKIWA NA MASTERCARD AU VISA SI NARAHISISHA TU?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hii msg imekaa kama zile msg za kitapeli za"Mjukuu wangu baada ya kukutumia ile dawa na ukanunua mabasi mapya 10 umeshindwa kunitumia yule jogoo mweusi"?.
duuuuh basi poa mkuu huko kuzuriunarahisisha kuwapa ulaji wenye benki zao maana ku Deposit huwa rahisi kama kumsukuma mlevi ila ku Withdraw sasa ndio utakapojua nini kilimpa kanga vidoti doti.
Makato kama yote na delays ni za kutosha. Hela ya kupewa ndani ya dakika 10 utaisubiri week huku asilimia karibu 30 umewaachia wao
Hello now naeza ipata???Unatumiwa tu kene bas mzee
Yeah mzigo bado upo mcontact Tomaa MireniHello be kHello now naeza ipata???
Bado zinapatikana?Habari za humu?
Kwa wale wanaohitaji line za Safaricom zimefika TZ karibuni sana mana huwa zinakuja chache na kama zikiisha huwa zinachukua kuja tena(wahi sasa)
Line 1 ni 10000 ikiwa na vocha ya Ksh 20.
Kama upo mkoa utatumiwa kwa gharama zako.
Kwa wale wanaohitaji tuchekiane 0625547181 au telegram @TomaaMireni.
Kama bado hujajua kazi yake kwa hapa Tanzania njoo telegram group SmatSkills
Kwa wale ambao tayari mnatumia karibuni kuelimisha wengine.
View attachment 1103437
Kwa ufupi faida na kazi ya hizi line
1. Kujiunga na PayPal inayopokea pesa
2. Wallet karibu zote online kama PayPal, Skrill
3. 1Xbet ya KE (habari ya mjini hapa TZ kwa sasa)
Ukiwa Safaricom simcard ondoa stress kwenye transaction zote online.
Kama unabet nje especially 1Xbet,kama unatrade forex,kama unataka kufanya miamala yeyote nje na ndani hupaswi kuikosa hii.
Kwa msaada zaidi kuzihusu karibu kwenye group letu telegram Safaricom Simcard
View attachment 1103440
Yap zipo bado! M contact Tomaa MireniBado zinapatikana?
HazihusianiWakuu hizi line za Safaricom zenye usajili wa Kenya baada ya tarehe 20 line kufungiwa na TCRA tutaendelea kuzitumia au nazo zitafungiwa? Msaada tafadhali hali ishakuwa tete kidogo
pesa ngapi kwa piece moja,Nipo Dar
Mkuu mzigo upo? nahitaji moja.
Haitakusaidia kitu. Safaricom na wao wamepigwa pin kufanya transactions za Paypal nakadhalikaMkuu mzigo upo? nahitaji moja.