Kwa wanaohitaji Line za Safaricom zimefika Tanzania

Kwa wanaohitaji Line za Safaricom zimefika Tanzania

KWANI NIKIWA NA MASTERCARD AU VISA SI NARAHISISHA TU?
unarahisisha kuwapa ulaji wenye benki zao maana ku Deposit huwa rahisi kama kumsukuma mlevi ila ku Withdraw sasa ndio utakapojua nini kilimpa kanga vidoti doti.
Makato kama yote na delays ni za kutosha. Hela ya kupewa ndani ya dakika 10 utaisubiri week huku asilimia karibu 30 umewaachia wao
 
duuuuh basi poa mkuu huko kuzuri
 
Habari za humu?
Kwa wale wanaohitaji line za Safaricom zimefika TZ karibuni sana mana huwa zinakuja chache na kama zikiisha huwa zinachukua kuja tena(wahi sasa)

Line 1 ni 10000 ikiwa na vocha ya Ksh 20.
Kama upo mkoa utatumiwa kwa gharama zako.
Kwa wale wanaohitaji tuchekiane 0625547181 au telegram @TomaaMireni.
Kama bado hujajua kazi yake kwa hapa Tanzania njoo telegram group SmatSkills
Kwa wale ambao tayari mnatumia karibuni kuelimisha wengine.
View attachment 1103437
Kwa ufupi faida na kazi ya hizi line
1. Kujiunga na PayPal inayopokea pesa
2. Wallet karibu zote online kama PayPal, Skrill
3. 1Xbet ya KE (habari ya mjini hapa TZ kwa sasa)
Ukiwa Safaricom simcard ondoa stress kwenye transaction zote online.

Kama unabet nje especially 1Xbet,kama unatrade forex,kama unataka kufanya miamala yeyote nje na ndani hupaswi kuikosa hii.
Kwa msaada zaidi kuzihusu karibu kwenye group letu telegram Safaricom Simcard

View attachment 1103440
Bado zinapatikana?
 
Wakuu hizi line za Safaricom zenye usajili wa Kenya baada ya tarehe 20 line kufungiwa na TCRA tutaendelea kuzitumia au nazo zitafungiwa? Msaada tafadhali hali ishakuwa tete kidogo
 
Back
Top Bottom