Kwa wanaohitaji Line za Safaricom zimefika Tanzania

Kwa wanaohitaji Line za Safaricom zimefika Tanzania

Hivi wakati wa kusajili PayPal utaingiza jina lako kamili ama lillilo sajiliwa kwenye line ya safaricom?
 
Inakuaga imesajiriwa kabisa full registration kule kule Kenya tena kwa National ID, Na number za ID unapewa/zmeandikwa kwenye registration form baada ya kukamilisha usajiri wake.. Swala la kutumia WhatsApp kusumbua watu hii ni mtu mwenyewe na matatizo yake au akiri zake! Sidhani kama ndio matumizi yake hayo..
Vocha za safaricom utakuwa unatutumia ili line isifungwe?
 
Vocha za safaricom utakuwa unatutumia ili line isifungwe?
Zamani ilkua inawezekana kuweka vocha ya Vodacom kwenye laini ya Safaricom, but kwa asaiv wamesitisha hii huduma kwa muda... Ila salio kwasasa unanunua kupitia M-pesa ya Safaricom...
 
Hivi wakati wa kusajili PayPal utaingiza jina lako kamili ama lillilo sajiliwa kwenye line ya safaricom?
Unasajili paypal kulingana na majina ya registered simcard/m-pesa names... Yaani unatumia jina la kwanza na la ukoo....then una link na M-pesa, ni kazi ya dk 2 tu... Tayari unakua na account yako yenye uwezo wa kutuma na kupokea pesa....
 
Ni full bata tu! Unaweza withdrawal hata $1 kutoka PayPal na ndio minimum ka umelink account yako na M-pesa, na hakunaga makato kabisa hata cent 1 withdrawal kutoka paypal to M-pesa Safaricom ndani ya masaa mawili tu unakua ushapata pesa ako....
Screenshot_20190521-124913.jpeg
 
Habari. Nahitaji hii line ya safaricom. Pls tuwasiliane. Niko Dodoma. 0688999006
 
Ni full bata tu! Unaweza withdrawal hata $1 kutoka PayPal na ndio minimum ka umelink account yako na M-pesa, na hakunaga makato kabisa hata cent 1 withdrawal kutoka paypal to M-pesa Safaricom ndani ya masaa mawili tu unakua ushapata pesa ako.... View attachment 1106152
Mkuu, wakati wa kufungua akaunti ya Paypal au ku login kama umelink na Safaricom Mpesa ni lazima utumie VPN kuonesha upo Kenya?
 
Back
Top Bottom