Kibenje KK
JF-Expert Member
- May 28, 2016
- 270
- 391
- Thread starter
- #21
KAZI nzuri sema pesa imesafiri mno. Sijui itarudi lini mikononi tena. Leta huko za bei rahisi chini ya milioni 100 Bwana.
Nyumba hii ipo Sokoni Kiluvya kwa Komba metre 500,tu kutoka Morogoro road;
Maji yapo,mpaka shower,
Vyumba vitatu kimoja Master, store,jiko, public Toilet.
Ukubwa wa eneo Ni 15/35.
Bei ya kutupa Million 60.
Maongezi yapo tulifika site.
0762815104