Kibenje KK
JF-Expert Member
- May 28, 2016
- 270
- 391
- Thread starter
-
- #21
KAZI nzuri sema pesa imesafiri mno. Sijui itarudi lini mikononi tena. Leta huko za bei rahisi chini ya milioni 100 Bwana.
Hapa umechanganya mapicha.Kiwanja hicho kikubwa kina Square metre 1200.
Unaweza chukua chote au tukakaa maana vinatoka Viwanja vitatu vya 22/20.
Kiwanja kipo Bunju kwa Bahari upande wa kulia,
Umbali ni metre 800;tu kutoka Bagamoyo Road.
Kila kipande Cha 22/20 anauza 20M;.
ukitaka kuunga vyote sawa.
Document na mauziano Serikali ya mtaa.
Nipigie 0762815104
View attachment 2003927
View attachment 2003928
View attachment 2003929
View attachment 2003936
wa mkuu. Karibu sana. Ingawa bei mara nyingi inategemea eneo nyumba ilipo,thamani ya kiwanja, ukaribu na barabara, matumizi, gharama za ujenzi, sababu za kuuza(shida ya fedha) , ukaribu na huduma za kijamii, upya, nkKAZI nzuri sema pesa imesafiri mno. Sijui itarudi lini mikononi tena. Leta huko za bei rahisi chini ya milioni 100 Bwana.
Niliona mkuu. Samahani sana.Hapa umechanganya mapicha.
Niliona pamewekwa Mabango, Epuka Matapeli Eneo hili Haliuzwi.Hii plot Ina ukubwa wa Square metre 1500.
ipo Goba Maeneo ya Nashpark au Kings School,1 km from njia nne Kama unaenda Mbezi,kushoto kwako.
Umbali kutoka Road ni Metre 800; tu.
Kiko sehemu nzuri Sana,na mtaa wa kishua.
Inataka million 50.
Maelewano site.
Document Serikali ya Mtaa Safi kabisa.
0762815104
View attachment 2004182
Mwanangu hizi njiti za kiberiti haziwezi kushuka?GHOROFA UNFINISHED LINAUZWA. Ghorofa lipo POSTA.
Lina floors 16.
Liko mjini kabisa karibu na barabara Linauzwa 15 Billion.
Piga simu 0762815104
View attachment 2005444
View attachment 2005445
View attachment 2005446
View attachment 2005447
Ndio. Kwa sasa mabango yametolewa. Kinauzwa, Uzuri mteja anafika site hauziwi mtandaoni. Anaona documents zote.Niliona pamewekwa Mabango, Epuka Matapeli Eneo hili Haliuzwi.
🤣🤣 Ghorofa lina ubora hilo. Engineers watatusaidia kabla ya kununuaMwanangu hizi njiti za kiberiti haziwezi kushuka?
Basi sawa.Ndio. Kwa sasa mabango yametolewa. Kinauzwa, Uzuri mteja anafika site hauziwi mtandaoni. Anaona documents zote.
Ubora Bongo?Labda ununue na kulishusha.🤣🤣 Ghorofa lina ubora hilo. Engineers watatusaidia kabla ya kununua
Tusijidharau. Ata wewe eneo lako hufanyi kwa Ubora? Tuwe positive tu. Wahusika wana uelewa navyo. Namiini huwezi kununua kitu ambacho hukijui vizuri kwaio kama hukijui vizuri na una uhitaji nacho Utatafuta wataalamu watakusaidia na kukushauriUbora Bongo?Labda ununue na kulishusha.
Habari, Kama uzi unavyojieleza. Nitakua nikipost hapa nyumba, Viwanja vikubwa na Apartment zinazouzwa. Location na bei. Zaidi ni nyumba za Dar es Salaam