Kwa wanaohusika: Acheni uchuro!

Status
Not open for further replies.
Rwabugiri,

Gavana wa Benki Kuu ni Beno Ndullu.....Vipi??
 
Kumbe Tunajikumbusha ile habari ya mwaka jana.
Maana nilivoona hii na ile taarifa ya Invisible nikaona kama vinakinzana.
 

Inawezekana habari ya kifo hiki nayo ikawa ni uvumi?
Maana hata Mpakanjia na Chenge washawahi kuzushiwa...
 
Invisible na Mwanakijiji mnatuchanganya jamani nani mkweli kati yenu.
mwangine ana sema hatunaye,mwingine anasema kuwa kaibuka na kusema.

Jamani trusted source kama hii haiwezi kuwa na habari zinazokinzana kama hizi...hasa kwa wanachama nguli kama hawa?Please
 

Mkuu soma vizuri mengine tunajikumbusha ya zamani. Usipo soma vizuri utajichanganya
 
jamani! Hebu tuzingatie matumizi ya tarehe....tutaza threads zisizo hata na maana tena humu ndani! Hapo kushoto pana tarehe inaonyesha lini hilo jambo lilijadiliwa inasaidia kupoteza muda na nafasi
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…