Ooh shukran boss japo niliandika mda ila nmefika mwaka huuAisee mkuu, viatu vya wamasai utauza lakini inabidi ukifika umtafute mzambia akuuzie usionekane wewe ndo unauza. Wazambia hawaoni shida kutumia pesa nyingi kwa mambo ya starehe na urembo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ooh shukran boss japo niliandika mda ila nmefika mwaka huuAisee mkuu, viatu vya wamasai utauza lakini inabidi ukifika umtafute mzambia akuuzie usionekane wewe ndo unauza. Wazambia hawaoni shida kutumia pesa nyingi kwa mambo ya starehe na urembo.
Karibu mkuu mimi nipo zambia comesa kibiashara ninauza viatu vya kimasai na baadhi ya bidhaa kibiashara ni pazuri sana gharama za kodi za nyumba ya kuishi na sehem ya biashara siyo kubwa sana inategemea na sehem unayotaka uishi au ufanyie biashara viatu vya kimasai vinapendwa sana na faida yake ni nzuri sana karibu zambia mkuu kwa ufafanuzi zaidi ni pm