Karibu mkuu mimi nipo zambia comesa kibiashara ninauza viatu vya kimasai na baadhi ya bidhaa kibiashara ni pazuri sana gharama za kodi za nyumba ya kuishi na sehem ya biashara siyo kubwa sana inategemea na sehem unayotaka uishi au ufanyie biashara viatu vya kimasai vinapendwa sana na faida yake ni nzuri sana karibu zambia mkuu kwa ufafanuzi zaidi ni pm