Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Hii thread maalumu kwa ajili ya kupeana uzoefu mbalimbali kwenye mambo ya uzazi
Mimi ninaanza na swali la kwanza;
Ninamuomba Mungu nipate ujauzito nipo kwenye harakati za kumpata mzazi mwenzangu, kwa kipindi hiki nifanye maandalizi gani kimwili, sijui kama nina tatizo, sijawai kupima au kukosa ujauzito maana sijawai kutafuta.
Ni sawa nikitumia follic acid kila siku wakati sijajua nitapata ujauzito lini? Hazina madhara zikitumika sana?
Mwenye swali lolote aulize hapa nitakuwa naapdate mara kwa mara.