King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
- Thread starter
-
- #41
Sio umeperuzi ukaktana Na hizo habari.
Sio umeperuzi ukaktana Na hizo habari.
Mh! hilo nalo neno!! .......
NAONDOKA MIE,NIMELETA CHUMA HIKI,ANAZO NGUVU ZA KUTOSHA KULIKO MIE,NA MLIKUWA MNASEMA MIE MPOLE,MABADILIKO NI KULETA MKALI NA AMEANZA KUTEMA CHECHEEEE.ngoja wazawa waje waanze kutema cheche hapa.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Paw kwa ban alimua hajambo sana miaka hioWengine BAN za akina PAW zitaendelea kutufanya kila siku tuonekane wageni!
Mkuu kambale baharini ?Eeeh bwana ee kumbe wavumao baharini ni papa kumbe na kambale wapo. hongera mkuu.
Mh! hilo nalo neno!! .......
Naunga mkonokwa niaba ya wakongwe napenda kuwaasa wachangiaji wageni kuwa watulivu na wasiwe wakurupukaji...
mkumbuke tu hata Jando lilikuwa Govi.
Naomba kuwakilisha
na me ngoja ntulie na ww apo tupunge upepo wa bichi[emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6]Lol... Mi ngoja nitulie pembeni.