Kwa wanaojiita wazawa wa JF!

Kwa wanaojiita wazawa wa JF!

Sio umeperuzi ukaktana Na hizo habari.

Hauwezi pata hizo habari online hata siku moja,kuna page nzima ya Zeutamu ina 9MB nimeisave tangia 2008 ipo au kama vipi search online uone kama utazipata kwa muonekano huo wa 2008!
 
Mh! hilo nalo neno!! .......

Hata usearch kwa kutumia robot hauwezi kuzipata hizo data nilizoweka,hizo nilisave mimi kama mimi mwaka 2008 na nilikuwa guest tu wala sikuwa na mzuka wa kujiunga coz nlikuwa sipo interested na mijadala online nilikuwa busy na kujipanga,swala la internet nimeanza kuchezea computer mwaka 1995 na interrnet mwaka 1998 kujiunga yahoo email.
 
ngoja wazawa waje waanze kutema cheche hapa.
NAONDOKA MIE,NIMELETA CHUMA HIKI,ANAZO NGUVU ZA KUTOSHA KULIKO MIE,NA MLIKUWA MNASEMA MIE MPOLE,MABADILIKO NI KULETA MKALI NA AMEANZA KUTEMA CHECHEEEE.
 
BAK.jpg


Cc: BAK
 
Eeeh bwana ee kumbe wavumao baharini ni papa kumbe na kambale wapo. hongera mkuu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] Mamndenyi upo? Kambale ni wa maji baridi, sio maji chumvi. [emoji245] [emoji245] [emoji245]
 
Inakuwa vipi sasa, Wazawa aka wakongwe vs makapuaku
 
Back
Top Bottom