Kwa wanaojiita wazawa wa JF!

Kwa wanaojiita wazawa wa JF!

King Kong III

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Posts
56,205
Reaction score
79,515
Hi JF,
Kuna baadhi ya Members ambao wamejiunga zamani kidogo,kuna tabia wanayo ya kuwakejeli ambao waliojiunga kipindi hichi cha karibuni,ukweli ni kwamba kuna baadhi tulikua tunafatilia JF enzi hizo sema hatujajiunga tulikua tunaingia kama user wa kawaida.

Haya nyie wazawa ebu tuwekeeni basi kumbukumbu za enzi hizo basi???

Haya Mie naanza na hizi tatu kwa muonekano wa JF 2008
1.Komba atuhumiwa kwa ubadhirifu -Ilipostiwa 2008
2.Manji ajitosa Ze Comedy - ilipostiwa 2008
3.Mrema na Slaa wazungumzia Vigogo wa Ufisadi -Ilipostiwa 2008
 

Attachments

HakyaMungu vile mie mzawa!
Anaebisha ni ngumi !
Kama sijampeleka Magwepande ! Ole wake!
 
Shem mambo?
Hivi semegi yangu hua unapoteleaga wapi ?
Yani hua sikuelewielewi ! Nini mbaya over you Shem ?

Nothing mbaya my shemeji.. Majukumu tu! Mie mzima wa afya.. Hope na we upo fine..
 
kwa niaba ya wakongwe napenda kuwaasa wachangiaji wageni kuwa watulivu na wasiwe wakurupukaji...
mkumbuke tu hata Jando lilikuwa Govi.

Naomba kuwakilisha

Wadau huyu mvumilieni kidogo niliwaambia wahudumu wampe 3! Mie nikatoka , nimerudi naambiwa keshabugia 6!
Na sasa ana ya7 mezani , namsubiria tu amalize hii nimrudishe nilipomtoa maana naona taa zake kubwa zishazimika anaonea parking lights tu.
 
Back
Top Bottom