Naanto Mushi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 6,236
- 15,677
Kuna platform ya betting najaribugi bahati humo kama mjuavyo hakuna pesa chafu na maisha kupambana.
Sasa kuna issue ya kwenye ku withdrawal, nimeona wao wana options za kutumia debit card au credit card, sasa mimi pia nnayo Vodacom mastercad, endapo nikijaribu kutoa mpunga kwa kuweka ile namba ya mastercad yangu ya Voda kama card, je mpunga utakuja?
Najua kuna wadau wataalamu humu, naombeni mnisaidie maarifa, kama itafika niendelee nayo maana naona ni njia rahisi kwangu, na kama itakataa basi nitafute utaratibu mwingine.