Kwa wanaojua jiografia tu!

Damy Scotty

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
717
Reaction score
454
Hii obLique photograph bila shaka, swali ni kwamba je ni high oblique au low oblique???

Anaejua tafadhali coz imeleta utata kidogo hapa nilipo!

Natanguliza shukran

Sent from my iPhone4 using JamiiForums
 
matatizo ya kunywa chang'aa na mataputapu ndo haya...
 
picha yenyewe mbona siioni. Ila tofauti ya low na high oblique ni kuwa low oblique inachukuliwa kwenye angle ya 30 degree wakati high oblique inachukuliwa kwenye angle ya 30 had 45 degree na pia high oblique inachukuliwa kwenye "low flying plane". wakat low inachukuliwa kwenye tall building au juu ya mlima. mfano wa low oblique ni game nyingi za kisasa mfano gta zote na pia hata security camera zinazofungwa maofisini, mabenki na kwingineko ni mfano mzuri wa low oblique. Naiman umeelewa na kama bado karib mkuu.
 
Serikali iendelee kukataza bangi tu jaman
 
Serikali iendelee kukataza bangi tu jaman

Nmekuja hapa sasa wa jigrafia kdogo, uklaza pemben kdogo. Kuna tofaut kat ya hogh and low oblique. .ambapo kuna kuwa na tufauti ya nyuz toka pale inapopgwa picha kuelekea object huska..n
 
Low oblique mara nyingi huonesha horizon ila high oblique mara nyingi haioneshi horizon.Ila picha siioni hapa.
 
Uko vice versa mkuu.high inaonyesha horizon but low haionyesh..

My low oblique inacovers small area, ground feature ambazo ni familiar haionyeshi horizon

High oblique inacover eneo kubwa ..ground area yake inavary kutokana na height .
horizon yake inakuwa visible
 
My low oblique inacovers small area, ground feature ambazo ni familiar haionyeshi horizon

High oblique inacover eneo kubwa ..ground area yake inavary kutokana na height .
horizon yake inakuwa visible

Uko deep. Hizi v2 nishasahau kitambo
 
Hii obLique photograph bila shaka, swali ni kwamba je ni high oblique au low oblique???

Anaejua tafadhali coz imeleta utata kidogo hapa nilipo!

Natanguliza shukran

Sent from my iPhone4 using JamiiForums
kijana picha iko wapi?
 
Pcha ni hii mkuu samahan sana nlisahau kupost na pcha

Sent from my iPhone4 using JamiiForums
 
My low oblique inacovers small area, ground feature ambazo ni familiar haionyeshi horizon

High oblique inacover eneo kubwa ..ground area yake inavary kutokana na height .
horizon yake inakuwa visible

Na camera depression ya high oblique huwa ktk angle ya 30 while camera depression of low oblique huwa ktk angle ya 60.nawaslisha
 
Me and ICHANA wangu sio vlaza kwa hapa.m math tu na science lakn arts huku, napasua wangu. .
 
Last edited by a moderator:
Mtandao unantesa sana nko kijijin ndugu zang kila nkijarib kutuma pcha inafeL..daaah it's a burden of guiLt kwa kweli

Sent from my iPhone4 using JamiiForums
 
kan'tangaze aisee hiyo simu yako ni tatizo
Nmekuja hapa sasa wa jigrafia kdogo, uklaza pemben kdogo. Kuna tofaut kat ya hogh and low oblique. .ambapo kuna kuwa na tufauti ya nyuz toka pale inapopgwa picha kuelekea object huska..n
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…