Kwa wanaojua jiografia tu!

Kwa wanaojua jiografia tu!

Mtandao unantesa sana nko kijijin ndugu zang kila nkijarib kutuma pcha inafeL..daaah it's a burden of guiLt kwa kweli


Sent from my iPhone4 using JamiiForums

Wanaswmaje hapo kijijini wanapokuona na iphone4 yako
 
Tofauti kubwa kati ya low na high oblique ni kwamba, low oblique inachukuliwa at low angle(45~89),high at high angle
 
Wanaswmaje hapo kijijini wanapokuona na iphone4 yako

ImageUploadedByJamiiForums1405603734.707397.jpg


Sent from my iPhone4 using JamiiForums
 
Wakuu pcha ndo hyo sasa imekubali


Sent from my iPhone4 using JamiiForums
 
picha yenyewe mbona siioni. Ila tofauti ya low na high oblique ni kuwa low oblique inachukuliwa kwenye angle ya 30 degree wakati high oblique inachukuliwa kwenye angle ya 30 had 45 degree na pia high oblique inachukuliwa kwenye "low flying plane". wakat low inachukuliwa kwenye tall building au juu ya mlima. mfano wa low oblique ni game nyingi za kisasa mfano gta zote na pia hata security camera zinazofungwa maofisini, mabenki na kwingineko ni mfano mzuri wa low oblique. Naiman umeelewa na kama bado karib mkuu.

Mkuu pcha hyoView attachment 171503


Sent from my iPhone4 using JamiiForums
 
Serikali iendelee kukataza bangi tu jaman

Hahahaha daaaah netwek imentukanisha sana..mkuu cjawah hata kugucsha mdomon hyo k2

Umenhukumu bila ushahid


Sent from my iPhone4 using JamiiForums
 
Tofauti kubwa kati ya low na high oblique ni kwamba, low oblique inachukuliwa at low angle(45~89),high at high angle

Kwa mujib wa hyo pcha itakua aina ip?


Sent from my iPhone4 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom