businezz_oligarch
Senior Member
- Dec 16, 2012
- 145
- 35
Kodi ya pale ni ndogo sana mimi uwa natumia sana njia ya posta..hawana fixed ways za ku tax uwa kuna maelewano wanawezakukuanzia bei ya juu lakini ukisema ulichonacho mnasikilizana..mfano kuna siku nilituma flat tv sony 38'laptop ipad na nguo na zawadi ndogondogo nikalipa 80000/najaribu kukuonyesha malipo yao yalivyo...hivyo vitu unavyosema ni vidogodogo havina matatizo...kuna dada anayeusika na parcel ni mtu wangu sana ukikwama tuwasiliane lakini najua huwezi kwama hawana mambo mengi....+971504374387 dubai