businezz_oligarch
Senior Member
- Dec 16, 2012
- 145
- 35
wana Jf naomba kwa anayejua gharama za kodi unapoagiza vitu na kupitisha pale posta kutoka nje kama umenunua ebay au any site ya kuuza na kununua vitu, kwa vitu kama vitabu,saa,tablets kama ipads,simu za mkononi na nguo.kodi yake inakuwajekuwaje au inacalculetiwa vipi kwa mtu anayeagiza kitu kimoja kimoja...