Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 9,758
- 18,431
Na ndio maana jeshini hakuna hiyo salamu ya shikamoo, walijua italeta shidamahala fulani.
kwenye salamu wewe tumia kanuni za kijeshi tu hakuna atakayeweza kukufanya jambo lolote, labda abaki nachuki zake mwenyewe.
1. Ukikutanana aliyekuzidi madaraka salimia wewe
2. Mkikutanamnaolingana na wewe ukawa wakwanza kumuona anzishs salamu wewe. Ikiwa yeye ndio kaanza kukuona/kakukuta kaa kimya aanze salamu yeye.
3. Ukikutana na walio chini yako kimadaraka, kaa kimya wasalimie wao.
4. Wakija wageni ofisini mfano wakaguzi ukabaini wanamadaraka zaidi yako salimia, usipogundua kaa kimya wajitambulishe.
5. Wakija wageni na upo na kiongozi ofisini kwenu, kaa kimya muache kiongozi wenu ashughulike kwanza kisha ukibaini wapo walio juu yako wasalimie baada yakujuzwa na kiongozi wenu.
Zaidi ya yote yafahamu mazingira uliyopo na uimudu hali ya wakati husika na ujiamini.