anayesema 2,952,508 ni Milioni mbili na kidogo hawezi kuwa smart enough kujifahamuHivi unajuwa maana ya Mil. 2s au ndio walewale vilaza? unadhani ile s imesimama badala ya nini, kama siyo kuwakilisha hiyo nyongeza
Kama kwako hiyo ni very complex arithmetic, we sema tu!Kwahiyo ungekuwa unafanya hesabu za makadirio, hiyo 2,952,508 ungeikadiria sawa na 2 Million sio?!
N anyie si mnunue-By Uhuru KenyattaKwa hiyo zilipendwa haikurushwa watsap, mbona hadi Leo zaidi ya mwezi sasa mnasema inazidi kuongeza viewers kwa kasi? au ndio ileile ya kununua imekolea
Wenzio wako kazini bro, na wewe fanya kazi life tight brotherWanaojua hesabu mtusaidie uwiano uliopo hapo, mbona kama idadi ya viewers zilikimbia spidi ya ndege masaa machache ya mwanzo na baadae zikaanza kwenda mwendo Wa Kinyonga?
Vipi kwa wanaojua hesabu, vipi mamba piko vizuri hapo?
karibuni
Labda tu nikusaidie Kaka kutokana na hesabu tu za kawaida za Msingi.Hivi unajuwa maana ya Mil. 2s au ndio walewale vilaza? unadhani ile s imesimama badala ya nini, kama siyo kuwakilisha hiyo nyongeza
Wanaojua hesabu mtusaidie uwiano uliopo hapo, mbona kama idadi ya viewers zilikimbia spidi ya ndege masaa machache ya mwanzo na baadae zikaanza kwenda mwendo Wa Kinyonga?
Vipi kwa wanaojua hesabu, vipi mamba piko vizuri hapo?
karibuni
Kikubwa hapo ni kuvunja record tu mengine hapo utajiongeza mwenyewe mkuu!!Wanaojua hesabu mtusaidie uwiano uliopo hapo, mbona kama idadi ya viewers zilikimbia spidi ya ndege masaa machache ya mwanzo na baadae zikaanza kwenda mwendo Wa Kinyonga?
Vipi kwa wanaojua hesabu, vipi mamba piko vizuri hapo?
karibuni
Of course.Inahitaji basic logic tu. Rate of viewership ilikuwa juu masaa 24 ya kwanza ikapungua over time. Hata movie kwenye box office zinaangliwa sana weekend ya kwanza na ya pili baada ya hapo rate inashuka
Kama zilikupiga chenga basi komaa uweze kizikaba zisikufunge brotherhapana Mkuu tunataka kuwekana sawa tu maana wengine hesabu zilitupiga chenga
Umesema kweli kabisa ila hapo" Number ya viewers inapungua kadri siku zinavyoongezeka "nadhani sio sahihi ila RATE ndio inapungua kadri muda unavyoongezeka!KWANZA SWALI LAKO SIJAELEWA WEWE UNATAKA NINI?
Pili Issue Views Imezungukwa na Vitu vingi sana! Ndio maana Kila wimbo ukitoka Kama Hutopa Views wengi sanaaaa Siku 2 au 3 baada ya kuutoa Usitegemee kufanya Maajabu ya kupata views wengi mbeleni! kwasababu watazamaji wanakawaida ya kufuta Upepo! Sasa Wewe wimbo sahizi upo kwenye kila kituo cha Radio na Runinga Ndani na nje ya nchi ukifungua Tuu TV unakutana na Hallelujah! Unategemea nani atatumia MB 70 kwenda kuangali Youtube! ndio maana Msanii mkubwaaa yeyote yule Duniani Akitaka Kuvuna Views Atavuna Siku 2/3 baada ya kuutoa wimbo
Mifano ipo mingi! Angalia Alikiba Alipotoa Aje na Aje Remix baada ya kushindwa kujipatia views wengi siku 3 za mwanzo nini kimetokea hadi sahizi hizo nyimbo zina views wangapi? Angalia Seduce me baada ya kupta Views wengi ndani ya masaa 24 huo wimbo hadi sahizi una Views wangapi!
Sasa Kama wewe unataka Hesabu sa uwiano huwezi kuzitua hapoo labda uchole graph na ALWAYS Graph lazima Itakuwa inashuka siku baada ya siku kwa msanii yeyoteee Yule Duniani??? HUJIULIZI KWANINI SEDUCE ME ILIANZA NA VIEWS WENGIII IKAJA KUPITWA NA ZILIPENDWA HUJIULIZI KWANINI????? Ndio maana huwezi kukuta msanii yeyote Duniani anajisifu views baada ya wiki moja au miaka kadhaa!
Nimetumia MFANO WA ALIKIBA kwasababu baada ya kusoma Reply zako kwa wadau wanaochangia na post nikajua kabisa wewe ni MSHABIKI WA ALIKIBA na unajitahidi kupambana Kuisemea vibaya Hallejah kwa kujifanya unataka ku calculate ratio! Hakuna kitu kama hicho huwezi kwasababu UKWELI ni kwamba Number ya Views Hupungua kadri ya siku zinavyo zidi kwendaa! NI kama Ukila Chakula!
Kwa hiyo kama alipata 2m views in a day, ulitegemea atapata 60m views baada ya mwezi? Akili nyingine ni tatizo.Sasa hilo nalo ni la kuhoji?! Ina maana hufahamu ngomainavyokuwa released majority wanakuwa online kuiangalia!
Btw, saa 120 si siku tano hizo?! Ina maana hizo views 2M zimefika jana?
Ni nani huyo unayesema ina maana "alitegemea?" atapata Views 60M?Kwa hiyo kama alipata 2m views in a day, ulitegemea atapata 60m views baada ya mwezi? Akili nyingine ni tatizo.
There's nothing to be corrected cuz' you're right! 2.96 ukiingiza kwenye approximation ni 3M na katu huwezi kusema milioni 2 na kidogo!! Sasa kama 2.9 ni milioni mbili na kidogo, 2.2 au hata 2.3 tutaitaje!!!Kwa mfano wa 2.6 na kuendelea mpaka 2.9999 ukisema hiyo ni Mil 2 na kidogo utakosa, utakuwa haujakomaa katika Desimali.
Sasa pale tunaona ni viewers more than 2.9 Million,
Unawezaje kusema ni Million 2 na kidogo/nyongeza wakati ni viewers chache tu zimepungua kufikia 3 Million?
Tafakari upya Kaka.
I stand to be corrected.
Wanafizikia tunasema Elastic limit hapo.Wanaojua hesabu mtusaidie uwiano uliopo hapo, mbona kama idadi ya viewers zilikimbia spidi ya ndege masaa machache ya mwanzo na baadae zikaanza kwenda mwendo Wa Kinyonga?
Vipi kwa wanaojua hesabu, vipi mamba piko vizuri hapo?
karibuni