Al Zagawi
JF-Expert Member
- Mar 17, 2009
- 2,508
- 1,566
Uko sawa....anayejua hisabati hawezi kubishana juu ya hilo...Labda tu nikusaidie Kaka kutokana na hesabu tu za kawaida za Msingi.
Tulisoma hesabu za Desimali,
Na katika Desimali ukiona 2.1, 2.2, 2.3 mpaka 2.5, unaweza kuikadiria tu kama hapo ulivyoonyesha kwamba ni Mil 2s, s ikisimama kama nyongeza, au kidogo kama ulivyosema.
Ila,
Kwa mfano wa 2.6 na kuendelea mpaka 2.9999 ukisema hiyo ni Mil 2 na kidogo utakosa, utakuwa haujakomaa katika Desimali.
Sasa pale tunaona ni viewers more than 2.9 Million,
Unawezaje kusema ni Million 2 na kidogo/nyongeza wakati ni viewers chache tu zimepungua kufikia 3 Million?
Tafakari upya Kaka.
I stand to be corrected.
Kula like tafadhali....[emoji4][emoji4][emoji4]