Kwa wanaojuwa hesabu tu: Uwiano wa Masaa 15 viewers Mil.1 na Masaa 120 viewers mil.2s

Kwa wanaojuwa hesabu tu: Uwiano wa Masaa 15 viewers Mil.1 na Masaa 120 viewers mil.2s

Labda tu nikusaidie Kaka kutokana na hesabu tu za kawaida za Msingi.

Tulisoma hesabu za Desimali,
Na katika Desimali ukiona 2.1, 2.2, 2.3 mpaka 2.5, unaweza kuikadiria tu kama hapo ulivyoonyesha kwamba ni Mil 2s, s ikisimama kama nyongeza, au kidogo kama ulivyosema.

Ila,
Kwa mfano wa 2.6 na kuendelea mpaka 2.9999 ukisema hiyo ni Mil 2 na kidogo utakosa, utakuwa haujakomaa katika Desimali.

Sasa pale tunaona ni viewers more than 2.9 Million,
Unawezaje kusema ni Million 2 na kidogo/nyongeza wakati ni viewers chache tu zimepungua kufikia 3 Million?

Tafakari upya Kaka.
I stand to be corrected.
Uko sawa....anayejua hisabati hawezi kubishana juu ya hilo...
Kula like tafadhali....[emoji4][emoji4][emoji4]
 
Kwa hiyo kama alipata 2m views in a day, ulitegemea atapata 60m views baada ya mwezi? Akili nyingine ni tatizo.
Umeona eeh....ni shida kilaza akijua kwamba yeye ni kilaza lakini ni janga kama kilaza hajitambui kuwa ni kilaza...
 
Umsoma integro mkuu, jaribu kuintagret utapata jawabu
 
Back
Top Bottom