Jamani mtoto wangu kapata nafasi chuo cha ukutubi bagamoyo naombeni mwenye kukifahamu na kuyajua mazingira anijulishe,pia nimeona kama hela ni kubwa,anataka kusoma certificate.
Jamani mtoto wangu kapata nafasi chuo cha ukutubi bagamoyo naombeni mwenye kukifahamu na kuyajua mazingira anijulishe,pia nimeona kama hela ni kubwa,anataka kusoma certificate.
mazingira ni mazuri na chuo kipo pazuri kipo mkono wa kulia kabla hujafika bagamoyo mjini (km chache to bagamoyo town)..hapo penye red sijui ulitaka kumaanisha nini kaa ukijua kila sehemu siku hizi elimu ni ghali,... akienda kila la heri kama ni wa kike mwambie asiendekeze starehe na kuendekeza party chuo cha sanaa.
nitext humu #yako 0719297747
Kuna mke wangu pale kasoma certificate kamaliza mwaka huu mwez wa4 na mwez wa 9 kaanza diploma hapohapo kama upo serious NIKUPE NO ZAKE