Sasa hata ukilipa hiyo tar 12 nilazima ulipie vyote?au naweza kulipia direct cost peke yake afu fee nasubiri loan kwanza?au nikulipia vyote direct cost na fee kwapamoja afu loan ikija wanakurudishia au inakuwaje hapo?AFU MWENYE MAWASILIANO YA CHUO UDOM ANISAIDIE NAHITAJI KUWASILIANA NAO.
Direct cost inalpwa yote, then ada unalpa kulngana na mkopo wako, either nusu au yote,. mind you kwamba ,usipolpa direct cost na nusu ya ada, huez kusajiliwa na hata bum husaini, pia kuna udoso fee, nayo ni mhimu.
then kuhusu malpo sio lazma ulipe kabla ya tar. 30,
Nmesoma tangazo lao kwa 1st year na wanaoendelea kuhusu malipo ya direct cost na tuition fee wamesema mwisho n tar 30 sept las ivyo hawataruhusiwa kufanya usajili tar 12 nngeomba kujua je hzo cost ukienda nazo tar12 italeta usumbufu
wee akurudishie nani?unauhakika gani kama utapata hyo loan?chamsingi lipia nusu y ada yako + direct coast au kama wasubiri had loan ije utakuwa uamuzi wako !! Mawasiliano yao unataka uwasiliane na nani kwa msaada gani wakat hata dean wako hujamjua loh!! Ingia kwenye website y chuo!!
Nmesoma tangazo lao kwa 1st year na wanaoendelea kuhusu malipo ya direct cost na tuition fee wamesema mwisho n tar 30 sept las ivyo hawataruhusiwa kufanya usajili tar 12 nngeomba kujua je hzo cost ukienda nazo tar12 italeta usumbufu
kwaiyo mkuu naweza kwenda na direct cost iyo tar12 alaf tuition fee nkangoja boom litoke bila kulipa nusu