Kwa wanaolifahamu hili kuhusu UDOM msaada please!

leloic

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2013
Posts
1,006
Reaction score
2,720
Nmesoma tangazo lao kwa 1st year na wanaoendelea kuhusu malipo ya direct cost na tuition fee wamesema mwisho n tar 30 sept las ivyo hawataruhusiwa kufanya usajili tar 12 nngeomba kujua je hzo cost ukienda nazo tar12 italeta usumbufu
 
Hata ukilipa tarehe 12 haina tatizo! Chamsingi uende na risiti zako siku ya registration! Maana. Bila muhuri wa bursar kwengine ni hopeless kabisa!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Sasa hata ukilipa hiyo tar 12 nilazima ulipie vyote?au naweza kulipia direct cost peke yake afu fee nasubiri loan kwanza?au nikulipia vyote direct cost na fee kwapamoja afu loan ikija wanakurudishia au inakuwaje hapo?AFU MWENYE MAWASILIANO YA CHUO UDOM ANISAIDIE NAHITAJI KUWASILIANA NAO.
 
wee akurudishie nani?unauhakika gani kama utapata hyo loan?chamsingi lipia nusu y ada yako + direct coast au kama wasubiri had loan ije utakuwa uamuzi wako !! Mawasiliano yao unataka uwasiliane na nani kwa msaada gani wakat hata dean wako hujamjua loh!! Ingia kwenye website y chuo!!
 
Direct cost inalpwa yote, then ada unalpa kulngana na mkopo wako, either nusu au yote,. mind you kwamba ,usipolpa direct cost na nusu ya ada, huez kusajiliwa na hata bum husaini, pia kuna udoso fee, nayo ni mhimu.
then kuhusu malpo sio lazma ulipe kabla ya tar. 30,
 
Mkuu we UDOSO nin? Naona umekumbushia elfu tano yenu
 
Nmesoma tangazo lao kwa 1st year na wanaoendelea kuhusu malipo ya direct cost na tuition fee wamesema mwisho n tar 30 sept las ivyo hawataruhusiwa kufanya usajili tar 12 nngeomba kujua je hzo cost ukienda nazo tar12 italeta usumbufu

Mkuu kama unazo ni heri ulipe mapema, hiyo tar 12 CRDB zote za dodoma huwa zinajaa watu foleni mpaka barabarani, kwa hiyo ili kuepusha hayo yote bora ulipe mapema.
 
wee akurudishie nani?unauhakika gani kama utapata hyo loan?chamsingi lipia nusu y ada yako + direct coast au kama wasubiri had loan ije utakuwa uamuzi wako !! Mawasiliano yao unataka uwasiliane na nani kwa msaada gani wakat hata dean wako hujamjua loh!! Ingia kwenye website y chuo!!

asante sana mkuu!kuhusu mawasiliano nilikuwa nataka kuulizia jina langu kama lipo kwani mi nikiangalia kwenye orodha ya chuo silion wakati nikiangalia kupitia Nacte naambiwa nimechaguliwa udom bch of science with education na niliomba kwa kutumia matokeo ya diploma!au mnisaidie kuangalia jina langu kwenye orodha ya chuo!jina Jackson Barnabas. Email ni jackson_barnabas@yahoo.com
 
Nmesoma tangazo lao kwa 1st year na wanaoendelea kuhusu malipo ya direct cost na tuition fee wamesema mwisho n tar 30 sept las ivyo hawataruhusiwa kufanya usajili tar 12 nngeomba kujua je hzo cost ukienda nazo tar12 italeta usumbufu

Biti tu hizo......haina shida yoyote kwani ni lazima ufike chuoni ukajue kiasi cha ada unachotakiwa kulipia
 
kwaiyo mkuu naweza kwenda na direct cost iyo tar12 alaf tuition fee nkangoja boom litoke bila kulipa nusu
 
Huwezi kusajiliwa bila kulipa direct cost na ada nusu, na bila kusajiliwa huwezi pata bumu.
 
Ukweli ni kwamba loan boar wakionesha kuwa wewe umepata mkopo, hata wasipolipwa wewe hautaulizwa, MAMBO MUHIMU SIKU YA USAJILI: 1.RIST YA DC 2.VYETI VYAKO ie ACADEMIC+URAIA ukiwa na Crdb a/c pia sio mbaya.
 
Ukweli ni kwamba loan boar wakionesha kuwa wewe umepata mkopo, hata wasipolipwa wewe hautaulizwa, MAMBO MUHIMU SIKU YA USAJILI: 1.RIST YA DC 2.VYETI VYAKO ie ACADEMIC+URAIA ukiwa na Crdb a/c pia sio mbaya. Pia unaweza lipa muda wowote hata th 12 hakuna shda.
 
Back
Top Bottom