Mookiesbad98
JF-Expert Member
- Feb 1, 2015
- 2,805
- 3,640
Ni mburushi wa sao tomeHuyu binti ana lafudhi na hakika asili ya Kenya lakini ameweza kuwa mtangazaji mzuri wa mambo ya Tanzania. Kwa wanaomjua alianzia wapi na alifikajefikaje hapa bongo na asili yake. Je ana work permit au ndio mambo ya EAC yanafanya.kazi. Ningeomba kuuliza pia kuna mtanzania yoyote anayetangaza hizi nchi jirani za East Africa.kenya na uganda maana huyu anakuwa mtangazaji wa pili akifuata nyayo za Sebbo kutoka Uganda.
Kulikuwa na mtangazaji mmoja miaka ya nyuma nadhani ni eatv. Alikuwa nakipindi cha mziki wa regge, si juwi nae alienda wapi au ndiye huyu unae mzungumzia kawa mmama kwa sasa..
yule aliekua anatangazaga na dan kijo pale EATV,nae hakua mtanzania cjui akiitwa nani vile?