Kwa wanaomjua Baby Kabae

Kwa wanaomjua Baby Kabae

Mookiesbad98

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2015
Posts
2,805
Reaction score
3,640
Huyu binti ana lafudhi na hakika asili ya Kenya lakini ameweza kuwa mtangazaji mzuri wa mambo ya Tanzania. Kwa wanaomjua alianzia wapi na alifikajefikaje hapa bongo na asili yake. Je ana work permit au ndio mambo ya EAC yanafanya.kazi. Ningeomba kuuliza pia kuna mtanzania yoyote anayetangaza hizi nchi jirani za East Africa.kenya na uganda maana huyu anakuwa mtangazaji wa pili akifuata nyayo za Sebbo kutoka Uganda.
 
Ni mburushi wa sao tome
 
Watangazaji wa Bongo ni wengi mno Kenya hasa kule Mombasa, na hata Ug wa bongo wapo.
 
Hats Jolly Club wamejaa wadada wa kutoka Kenya lakini usiwe na wasiwasi wote wana working permitt
 
wabongo kufuatilia maisha ya watu...inawezekana mlata mada huna kazi na kipato cha uhakika...
 
Kulikuwa na mtangazaji mmoja miaka ya nyuma nadhani ni eatv. Alikuwa nakipindi cha mziki wa regge, si juwi nae alienda wapi au ndiye huyu unae mzungumzia kawa mmama kwa sasa..
 
yule aliekua anatangazaga na dan kijo pale EATV,nae hakua mtanzania cjui akiitwa nani vile?
 
ndiye.

Kulikuwa na mtangazaji mmoja miaka ya nyuma nadhani ni eatv. Alikuwa nakipindi cha mziki wa regge, si juwi nae alienda wapi au ndiye huyu unae mzungumzia kawa mmama kwa sasa..
 
Kulikuwa na mtangazaji mmoja miaka ya nyuma nadhani ni eatv. Alikuwa nakipindi cha mziki wa regge, si juwi nae alienda wapi au ndiye huyu unae mzungumzia kawa mmama kwa sasa..

Ndo mwenyewe huyo Baby Kabae ama unaweza muita sista dreads.....
 
Back
Top Bottom