"kwa wanaopenda kusoma kiswahili online"

"kwa wanaopenda kusoma kiswahili online"

mjunguonline

Member
Joined
Mar 10, 2011
Posts
73
Reaction score
6
Kwa wadau wanaopenda kusoma,au kujiendeleza kwa somo la Kiswahili (SARUFI) ifuatayo ni LINK ya kuweza kusoma online

Paneli la Kiswahili

Ndani ya hiyo LINK.Utapambana na mambo mengi kama,
Fasihi Simulizi,
Fasihi Andishi,
Insha,
Ushairi,
Sentensi kwa ujumla,
Kuchanganua sentensi,
Matumizi ya Lugha,
Na mambo mengine mengi sana.

Elimu haina mwisho,.....OVER...@Oldman!
 
Back
Top Bottom