Kwa wanaopenda movies kama mimi!

Kwa wanaopenda movies kama mimi!

ha ha ha , bro nikija dar nitawatafuta nami ni mpenzi wa muvi nataka niwe na library yangu
 
mimi nacheza na documentary kila siku-movie huwa nachek mara moja moja-ila mpaka nisikie kuwa movie flan ipo juu-ndo nitaitafuta
ila documentary kwa kweli lazma kila siku nicheki ni nina zidownload kila siku

Duuh! Mimi ni mgonjwa wa hiyo kitu ila, kwa bahati mbaya, sijawahi kurekodi. Je, unaweza kuniazima, Mkuu?
 
duh haya bwana hata mimi nimpenda sana movies ila tuwasiliane
 
katafuteni kitu inaitwa the warriors way!!!one of the best movie ever
 
Mimi niko interested, na zaidi napenda movie za action hasa za kijasusi kama CIA, FBI, KGB, MOSAD, M16. N.K. kwangu movie za kina Kanumba usisumbuke sitaki hata kuzisikia, za kichina pia hazina nafasi kwangu, labda za Jet lee alizofanyia holywood. kwahiyo naomba tulianze hili zoezi mara moja, mimi nikiwa sina majukumu nina uwezo wa kushinda ndani tu nakula movie na internet tu.
 
mimi nacheza na documentary kila siku-movie huwa nachek mara moja moja-ila mpaka nisikie kuwa movie flan ipo juu-ndo nitaitafuta
ila documentary kwa kweli lazma kila siku nicheki ni nina zidownload kila siku

unatumia link gani kupakua documentaries na movies mi ni mpenzi sana wajameni,
 
Any cartoons?....I love movies but mostly animated and cartoons....
 
unatumia link gani kupakua documentaries na movies mi ni mpenzi sana wajameni,

Mie huwa natumia Frostwire Software, zamani nilikuwa natumia Limewire.
Ila inatakiwa uwe na mtandao wa kueleweka, umeme wa uhakika na pc nzuri yenye kasi!
 
Napenda sana action movies ila nina story movies kibao ambazo nimejaza kwenye xtermal yangu na siziangalii,kama vipi ntakucheki basi

Mkuu napenda sana story movies tuwasiliane mkuu
 
Back
Top Bottom