Naomba mnijuze ada mwanafunzi anachangia bei gani baada ya mkopo.
dogo anasoma hapo na hunipa bei mpya kila muhula . Kesha lipa laki 6 anadai bado 7. Ni kweli?
Ka ni demu bora uumpe tu, vinginevya wauza samaki watamlipia.
Govt inakupa 2.6mil out of 3.7 mil ambayo ni ada y chuo....the remaining 1.1mil unaongeza mwenyewe.....ukiongeza michango mingine ya chuo inazd hapo 1.1mil.....mf. bima, serikali ya wanafunzi , hostel ,e.t.c .....thats it.