Kwa wanaosoma md Bugando mwaka wa 4

Kwa wanaosoma md Bugando mwaka wa 4

ba nso

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2012
Posts
668
Reaction score
225
Naomba mnijuze ada mwanafunzi anachangia bei gani baada ya mkopo.
dogo anasoma hapo na hunipa bei mpya kila muhula . Kesha lipa laki 6 anadai bado 7. Ni kweli?
 
Kwani hakuna documentation / prospectus n.k. au akilipa hapewi lisiti ?, mwambie akupe hizo documents zote, hususan copy ya risiti (ingawa hii anaweza akaghushi) Kama bado kuna maswali unaweza ukawapigia kwenye simu zao:-

Where are we located?

Located at the Bugando Medical Centre, Bugando Hill,
Catholic University of Health and Allied Sciences
P.O. Box 1464, Mwanza. Tanzania.
3[SUP]rd[/SUP] Floor
Tel: +255-28-2500881
Fax: +255-28-2502678
Email: vc@bugando.ac.tz
Website: Catholic University of Health and Allied Sciences - CUHAS
 
hv kama mtu ameshalipiwa hyo ada yote sh 3700000 hapo inabak sh ngap anayotakiwa aongezee
 
Naomba mnijuze ada mwanafunzi anachangia bei gani baada ya mkopo.
dogo anasoma hapo na hunipa bei mpya kila muhula . Kesha lipa laki 6 anadai bado 7. Ni kweli?

Ka ni demu bora uumpe tu, vinginevya wauza samaki watamlipia.
 
Govt inakupa 2.6mil out of 3.7 mil ambayo ni ada y chuo....the remaining 1.1mil unaongeza mwenyewe.....ukiongeza michango mingine ya chuo inazd hapo 1.1mil.....mf. bima, serikali ya wanafunzi , hostel ,e.t.c .....thats it.
 
mwaka huu wamelipiwa hyo mil 3 na laki saba yote bt cjui michango mingine inafika kias gan
 
Govt inakupa 2.6mil out of 3.7 mil ambayo ni ada y chuo....the remaining 1.1mil unaongeza mwenyewe.....ukiongeza michango mingine ya chuo inazd hapo 1.1mil.....mf. bima, serikali ya wanafunzi , hostel ,e.t.c .....thats it.

Usiseme uongo ndugu total cost kwa hao MD 4 ni 1,170000 in total!
 
Back
Top Bottom