Reowned
JF-Expert Member
- May 29, 2024
- 316
- 862
Unameza tu non stop kwa siku7Asante kwa mada nzuri!
Vipi unatumiaje-dose kiasi gani,mara ngapi kwa siku na siku ngapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unameza tu non stop kwa siku7Asante kwa mada nzuri!
Vipi unatumiaje-dose kiasi gani,mara ngapi kwa siku na siku ngapi?
yeah, siku za nyuma nilikuwa nameza 2×3/7 au unapiga moja moja mwezi mzimaUnameza tu non stop kwa siku7
Amesema Vitamin B ComplexInaitwaje iyo dawa boss, ni ile neoroton au!??
Vitamini B complex inaweza kuwa sehemu ya mpango wa matibabu kwa sonona, lakini haipaswi kutumika kama mbadala wa matibabu ya kitaalamu bila ushauri wa daktari.Kwa wale wenye ugonjwa wa Depression au msongo wa mawazo. Supplements za Vitamin B complex ni vidonge vyenye msaada mkubwa sana.
Vitamin B complex ni mchanganyiko wa Vitamins kama nane hivi, na sifa ya Vitamin B ni kusaidia uzalishwaji wa seli mpya mwilini.
Wengi wenye tatizo la sonona wana kuwa na upungufu wa baadhi ya kemikali kwenye brains na zile cell zinazosababisha mzunguko wa umeme kwenye mwili wa binadamu hasa sehemu ya ubongo.
Kwa hiyo matumizi ya Vitamin B complex husaidia kwa kiwango kikubwa kutengenezwa kwa seli mpya zinazopungua kwenye ubongo na hivyo kufanya mtu mwenye msongo wa mawazo (sonona) kupata nafuu kubwa.
Wale wote wenye ndugu au jamaa wanaosumbuliwa na msongo wa mawazo (sonona) washaurini watumie vidonge vya vitamin B complex.
Hivi ni over the counter pills. Havihitaji kuwa na cheti cha daktari kwa hiyo ni supplements ambazo mtu anaweza akazitumia.