IPILIMO
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,819
- 801
- Thread starter
- #41
Mkuu mbona matokeo yanatisha!
https://www.jamiiforums.com/matokeo2012/data/s0741.htm
Mna mkakati upi kuondoa hali hii.
Mkuu tuna mikakati mizuri hata sasa, sema pengine baadhi ya wazazi na wanafunzi hawaendi na programu zetu, na hatuna programu ya kuchuja kwa kuwa pia tuna hitaji kuona hata wasio jiweza wanafanikiwa angalau. Ila kwa wanafunzi wazuri na wazazi wanaofuata programu zetu vizuri wanafanikiwa japo kwa uchache. Bado tuna brainstorm tufanyeje, je tuingie kwenye mfumo wa shule zinazo chuja? still doing research!