Mkuu mbona matokeo yanatisha!
https://www.jamiiforums.com/matokeo2012/data/s0741.htm
Mna mkakati upi kuondoa hali hii.
kuhusu hostel mkuu acha unafki hsmna lolote.....vijana wanapiga ulanzi mabatini kama vibaka angali ni wanafunzi wa bweni. Tanagaza biashara kaka shule upande wa pori mshaiwekea wigo tulete vijana wetu? Vipi wanafunzi wenu dizain ya Fidealoso mnawalekebisha vipi now days?
sio unafiki mkuu, pia lugha yako si ya kiungwana! kama kuna weakness hata sisi kwetu ni challenge tunajaribu kurekebisha, ndo maana hostel ya kiume ilikuwa kule mbali na shule, kwa sasa tumeleta ndani ya shule, na tunaganga bajeti zetu ili kuwa na full hostel protection! mengi yanaendelea kufanywa, mtu wa nje sio lazima akajua tuna plan nini! MKUU tuletee tu watoto, mawazo yako ni mhimu pia ila sio kejeli, na unajua shule ni ASSET pia ni source ya ajira kwa wengi wakiwemo rafiki, ndugu na jamii ya kitanzania. So tupeane ushauri ili tuboreshe!
vipi kwenye suala la maadili maana mimi ni mmoja wa zao la shule za wazazi o'level nimepiga sangu sec. Wakati huo nilikuwa katibu wa shule za wazazi mkoa wa mby so napafahamu vilivyo itende. Ila usijari naweza tokea hapo j4.
Wajinga ndio waliwao! mm sishauri mtu arudie mitihani kama anajijua uwezo wake ni mdogo ndio sababu akafeli mtihani wa kwanza. kwanini mtu asitafute kitu kingine cha kufanya baada ya watawala kumdanganya kupitia shule za kata kwamba amefika form four ilhali yuko darasa la saba bado!
DIV O= 143 zero kabisa ikifuatiwa na I=1, II=1,III=10,IV=55. KWAHIYO HIZO NI POROJO TU. LABDA KAMA ST FRANCIS WAKIANZISHA HIZO PROGRAM OTHERWISE MABO NI YALEYALE