Fungukakatika biashara zote hii ndio iliyonipa mafanikio makubwa
Ndugu yangu humu ndani wengi wana njaa hatarihabrii zenu iv mtu unaweZ kufugua kiwanda kidg cha mafuta mkoa dar na kutengeneza mafuta ya kupikia. ? natak nijue njia ipi best kutoa raw material mkoan kuleta dar kiwandn au kutengenez apo apo mkoan ila mm napend nitengenez kiwanda kiwe dar
Nicheck pm tujadilianehabrii zenu iv mtu unaweZ kufugua kiwanda kidg cha mafuta mkoa dar na kutengeneza mafuta ya kupikia. ? natak nijue njia ipi best kutoa raw material mkoan kuleta dar kiwandn au kutengenez apo apo mkoan ila mm napend nitengenez kiwanda kiwe dar
habrii zenu iv mtu unaweZ kufugua kiwanda kidg cha mafuta mkoa dar na kutengeneza mafuta ya kupikia. ? natak nijue njia ipi best kutoa raw material mkoan kuleta dar kiwandn au kutengenez apo apo mkoan ila mm napend nitengenez kiwanda kiwe dar
Alizeti gunia ni debe saba kaka!Ufafanue watu waelewe hilo gunia ni la debe ngapi mama kuna 10 na debe 7 au 6
Kiongozi ni wilaya gani singida inalima kwa wingi alizeti? AsanteAlizeti mwaka huu Singida imetoa sana na wasi wasi nkinunua bei itashuka zaidi! Uwezekano mkubwa wa mafuta kushuka bei
Alizeti mwaka huu Singida imetoa sana na wasi wasi nkinunua bei itashuka zaidi! Uwezekano mkubwa wa mafuta kushuka bei
Nipe namba boss minatak hi i biashara tufanyeAlizeti mwaka huu Singida imetoa sana na wasi wasi nkinunua bei itashuka zaidi! Uwezekano mkubwa wa mafuta kushuka bei
Usijaribu mkuuhabrii zenu iv mtu unaweZ kufugua kiwanda kidg cha mafuta mkoa dar na kutengeneza mafuta ya kupikia. ? natak nijue njia ipi best kutoa raw material mkoan kuleta dar kiwandn au kutengenez apo apo mkoan ila mm napend nitengenez kiwanda kiwe dar
Dumu kumi za lita 20 nipo Dar...bei ipojeDumu ngapi na uko wapi!?
Habari, bado unafanya hii biashara ya mafuta ya alizeti?Nataka kununua mafuta ya alizeti
Kwa yoyote mwenye connection na wakamuaji naomba anisaidie tufanye biashara