Kwa wanaotaka kufanya biashara ya Alizeti, msimu ndio huu hapa

habrii zenu iv mtu unaweZ kufugua kiwanda kidg cha mafuta mkoa dar na kutengeneza mafuta ya kupikia. ? natak nijue njia ipi best kutoa raw material mkoan kuleta dar kiwandn au kutengenez apo apo mkoan ila mm napend nitengenez kiwanda kiwe dar
 
Ndugu yangu humu ndani wengi wana njaa hatari
 
habrii zenu iv mtu unaweZ kufugua kiwanda kidg cha mafuta mkoa dar na kutengeneza mafuta ya kupikia. ? natak nijue njia ipi best kutoa raw material mkoan kuleta dar kiwandn au kutengenez apo apo mkoan ila mm napend nitengenez kiwanda kiwe dar
Nicheck pm tujadiliane

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
habrii zenu iv mtu unaweZ kufugua kiwanda kidg cha mafuta mkoa dar na kutengeneza mafuta ya kupikia. ? natak nijue njia ipi best kutoa raw material mkoan kuleta dar kiwandn au kutengenez apo apo mkoan ila mm napend nitengenez kiwanda kiwe dar

Natumaini unazungumzia mafuta ya alizeti

Nivizuri zaidi kufungua sehemu wanakozalisha Alizeti kwa wingi kuepuka gharama na usumbufu usio wa lazima

Kununua alizeti labda Singida kisha ukaisafirisha kuja Dar nigharama zaidi kuliko kuinunulia na kuikamulia Singida kisha ukasafirisha mafuta kuja Dar

Kama ni viwanda vidogo vidogo basi biashara hii inataka uingie mwenye front kukusanya alizeti kisha kamua mafuta
Na itakulipa zaidi kuuza mashudu kuliko mafuta

Itakulipa zaidi ikiwa msimu unapoa anza uza mashudu tu kupata hela ya uendeahaji na mafuta weka store hadi bei itakapo tengemaa, hapo utapiga hela

Pia kamua Alizeti za watu wengine na malipo yao ni kukuachia mashudu ambayo yana bei nzuri sana

Uzoefu huu ni kwa mkoa wa Singida
 
Alizeti mwaka huu Singida imetoa sana na wasi wasi nkinunua bei itashuka zaidi! Uwezekano mkubwa wa mafuta kushuka bei
 
Kiongozi ni wilaya gani singida inalima kwa wingi alizeti? Asante
 
habrii zenu iv mtu unaweZ kufugua kiwanda kidg cha mafuta mkoa dar na kutengeneza mafuta ya kupikia. ? natak nijue njia ipi best kutoa raw material mkoan kuleta dar kiwandn au kutengenez apo apo mkoan ila mm napend nitengenez kiwanda kiwe dar
Usijaribu mkuu
 
Back
Top Bottom