Blcng
Member
- Oct 14, 2014
- 28
- 2
Kwa wale wanaotaka kujinga na elimu ya juu mwaka wa masomo 2015/16 kwa kozi za afya naomba niwape ushaur wa bureeee kwa ambaye atakuwa tayar ataufuata kama huamin nitakacho kisema jaribu kufatilia utaamin maneno yangu.
Kama mtanzania mwenzangu nakuomba sanaaa usije ukajaribu kukiomba chuo kikuu cha kampala international university dar es salaama Compus(gongo la mboto) kwan hiki chuo hakina usajil wa koz zinazitolewa, unaweza ukanishangaa ukajiuliz kama hakina usajir mbna TCU kipo, hii ndo Tanzania bhna, mim nilichaguliw na TCU mwaka 2014/15 bachelor of pharmacy nimesoma had nakarbia kumaliz mwaka ndo tukagudua kuwa chuo hakina usajil wa kutoa koz za afya hata moja.
SABABU ZILIZOPELEKEA CHUO KUKOSA USAJIL NI:
1. Chuo ninatumia mtaala wa kiganda(huu uko chini ya kiwango)
2.Chuo hakina walimu weny sifa za kufundsha watu wa bachelor.
3.Chuo cyo cha kitanzania hivyo bodi za afya hazijasajiliw chuo ambacho cyo cha kitanzania
MADHARA ya kusoma chuo ambacho hakikusajiliwa ni kwamba huwez kupata licence ya kufanyia kazi ivyo huwez kuajirika sehemu yoyote( serikali, private wala kijiajil) kwasababu huruhusiw kupractice shughul yoyote ya afya kama huna licence(ni kinyume na taratibu za nchi yoyote dunia).
Kwa asiye amini hayo niyasemayo husiwe mbishu jaribu kufatilia utaamin niyasemayo.
APPLICATION NJEMA WADAU