pettymarcel
JF-Expert Member
- Jun 17, 2012
- 2,161
- 880
Nataka kusoma concord college west Virginia, je itanicost sh ngapi?
Nataka kusoma oxford university.mtanisaidiaje?
Sisi tunachofanya tunakaa na wewe tunajua uwezo wako financial tunakushauri which is best 4 u kama kuna chuo unataka kusoma tutakuambia ututumie vyeti vyako(copy) then tutafanya application ila sisi huwa tunamfanyia mtu application ya vyuo kama tano katika nchi tofauti then tutakuambia uchague kipi ungependelea then tunaanza kufanya process ya viza sababu ya kufanya vyuo vingi ni ili ukikosa viza china basi tuombe canada extra
Kwahyo nyie ni madalali(agent) tu? je kuna faida gani nitapata nikiwatumia nyie?
Kuna faida sana kwanza ukipatwa na tatizo lolote huko nje sisi kama wawakilishi tutakusaidia, pili swala la ada tutakusaidia kukupeleka chuo kulingana na uwezo wako na kama unataka ufadhili na mambo mengine kama hayo
ok tutawasiliana mie nataka college za USA
je mnatoza kiasi gani cha pesa kwa huduma zenu?
Nina Dip ya Theology.Je,naweza kupata ufadhili?Kwenye theology huwa tunafadhiliwa kila kitu.Je,na kwenu vipi inawezkn?
Naona mnasisitiza mnawasaidia watu...
Kwani huduma zenu nu bure???
Hapa ni full wasi wasi!?!!!!! hata mzungu siwezi kumwamini kias hiki. Desi nyingine hii
Hapo mkuu nimekuelewa...ngoja nianze kujipanga niwatafute mkuu...safi sana....Wewe hautatulipa chochote mpaka upate viza nasi tutalipwa na chuo