Kwa wanaotaka kusoma nje ya nchi

Kwa wanaotaka kusoma nje ya nchi

pettymarcel

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2012
Posts
2,161
Reaction score
880
Je ungependa kusoma nje ya nchi? sisi GLOBAL SOURCE WATCH tutakusaidia kutimiza ndoto zako tutakuunganisha na vyuo katika nchi kama malaysia, canada, china,usa na nyinginezo wasiliana nasi tukufanyie taratibu zote pia kuna vyuo vinatoa ufadhili kwa nchi masikini Unalipa ada kidogo sana nyingine wanakusaidia na unapata kazi uku ukiendelea kusoma tutakuwezesha katika yote wasiliana nasi simu 0763772636 au email pettygodson@yahoo.com au ni pm together we can
 
Nataka kusoma concord college west Virginia, je itanicost sh ngapi?
 
Nataka kusoma oxford university.mtanisaidiaje?
 
Nataka kusoma concord college west Virginia, je itanicost sh ngapi?

Sisi tunachofanya tunakaa na wewe tunajua uwezo wako financial tunakushauri which is best 4 u kama kuna chuo unataka kusoma tutakuambia ututumie vyeti vyako(copy) then tutafanya application ila sisi huwa tunamfanyia mtu application ya vyuo kama tano katika nchi tofauti then tutakuambia uchague kipi ungependelea then tunaanza kufanya process ya viza sababu ya kufanya vyuo vingi ni ili ukikosa viza china basi tuombe canada extra
 
Kwahyo nyie ni madalali(agent) tu? je kuna faida gani nitapata nikiwatumia nyie?

Kuna faida sana kwanza ukipatwa na tatizo lolote huko nje sisi kama wawakilishi tutakusaidia, pili swala la ada tutakusaidia kukupeleka chuo kulingana na uwezo wako na kama unataka ufadhili na mambo mengine kama hayo
 
ok tutawasiliana mie nataka college za USA
Kuna faida sana kwanza ukipatwa na tatizo lolote huko nje sisi kama wawakilishi tutakusaidia, pili swala la ada tutakusaidia kukupeleka chuo kulingana na uwezo wako na kama unataka ufadhili na mambo mengine kama hayo
 
Nina Dip ya Theology.Je,naweza kupata ufadhili?Kwenye theology huwa tunafadhiliwa kila kitu.Je,na kwenu vipi inawezkn?
 
Hapa ni full wasi wasi!?!!!!! hata mzungu siwezi kumwamini kias hiki. Desi nyingine hii
 
Ok sisi atuprocess ufadhili wa moja kwa moja ila kuna vyuo ambavyo ada yake ni ndogo sana sehemu nyingine wanakulipia wao
 
Hapa ni full wasi wasi!?!!!!! hata mzungu siwezi kumwamini kias hiki. Desi nyingine hii

kuna deci gani je nimekutoza pesa yeyote au copy ya vyeti vyako naweza kuuza na kupata mamilion dont be narrow minded
 
Kwa hiyo nyie ni wasamariawema sio?
 
siwezi pata full ufadhili.!maana sina hata sh.mia ya kuanzia kama air ticket.,malazi huko e.t.c nifafanulie,umaskini huu.!
 
Back
Top Bottom