Kwa wanaotaka kusoma open university(certificate &diploma&pre-form one kwa waliomaliza darasa la sab

Kwa wanaotaka kusoma open university(certificate &diploma&pre-form one kwa waliomaliza darasa la sab

vidodi

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2014
Posts
361
Reaction score
125
Kwa wote wanaotaka kujiunga na open kwa ajili ya kusoma hizi course piga namba 0779888204 au 0713478730 karibuni
 
Uwe na pass 4 yaani d unaingia certificate direct halafu kama una d mbili unajiunga na pre entry miezi 3 halafu unaingia certificate direct
 
Diploma kama una principal plus subsidiary moja unaingia direct au uwe umesoma chuo chochote kinachotambulika na nacte unaweza ukajiunga pia
We mgumu why unauliza hvyo au nahisi akili yako si nzuri watu wanahtaj elimu unauliza swali kama upo chekechea
 
Ni computer science cert and diploma pia tunatoa short course kwa wiki 5 na kwa bei nafuu
 
Piga hizo namba 2 kwa maelezo zaidi
 
Napenda kuwapongeza sana OUT kwa kazi nzuri mnayofanya hasa kwa hizo courses za Computer Science kwa level ya Cert na Diploma. Mna course contents nzuri sana zilizoshiba na zinazojenga wanafunzi kuwa competent...ila kuna baadhi ya mambo bado yanawasumbua kama kutokuifuata almanac yenu lakini pia time management bado ni shida kwenu na lastly, muajiri waalimu wakwenu muachane na hao wa part times wanasumbua sana na wengi wao hawako vizuri
 
Sawa kaka tunaanza wiki hii na walimu tumewaajiri wapya wa full time asante kwa maoni nyingi tumefanyia kazi sana kama hiyo ya walimu karibu sana kaka
 
Ahsante sana Mkuu, Mimi ni muhitimu wa Cert in Computer science mwaka huu chuoni kwenu...na nimeshachukua Application form pamoja na other friends of mine (Wapya) kwa ajili ya Diploma starting from next week at Kagera Regional Centre.
 
Sawa kaka nashukuru sana na kesho uongozi ntawakilisha ujumbe wako waambie na wengine waje kusoma zaidi
 
Nashukuru sana, waambie uongozi wa juu (Director IEMT) kuwa kitu kikubwa cha kurekebisha ni Waalimu wa part time hasa huku kagera...wanategea sana
 
Diploma kama una principal plus subsidiary moja unaingia direct au uwe umesoma chuo chochote kinachotambulika na nacte unaweza ukajiunga pia
We mgumu why unauliza hvyo au nahisi akili yako si nzuri watu wanahtaj elimu unauliza swali kama upo chekechea

Nafikiri open hawana diploma corze wana foundation ya one year ama nakosea?
 
Diploma ya computer science ya miaka 2 ipo na tunatoa miaka mingi kwa sasa kuna diploma ya ujasiriamali ipo kama ya wafugaji kuku na foundation ipo pia
 
Unalipa kwa awamu na si kwa mkupuo
 
Back
Top Bottom