Kwa wanaotaka kuwekeza kwenye miti ya mbao

The GT

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2015
Posts
461
Reaction score
529
Kama kichwa kinavyojieleza,kwa wewe mwenye influence hiyo nitafute kwa kuni PM.Ni miti ya mbao aina ya pines.

Ni maeneo ya Iringa Wilaya ya Kilolo maeneo ya Dabaga.

Wastani kwa mti 1 wa miaka
1 ni tsh 500-1000
2 ni tsh.1000-1500
3 ni tsh.1500-2000
4 ni tsh.2000-2500
5 ni tsh.2500-3000
Nyote mnakaribishwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…