Kwa wanaotaka kuzaa mapacha

Kwa wanaotaka kuzaa mapacha

kula vizuri sana.alafu ingia kwenye mechi ukipata mmoja au pacha mapenzi ya mungu
 
Namwamini Mungu tu alie juu atupae sawasawa na atakavyo yeye, sio kwa michakato hii ya kimizimu. Wenda hata unakuta unaita majini, mwishoe wanazaliwa watoto wa maajabu.

Muunganiko wa kibailojia unaotoa mapacha cdhani kama una uhusiano na haya mamizimu.

Mungu akipenda uwe na pacha atatoa tu. Kila la kheri mtakaojaribu
real.....afu anakwambia usiku huo usifanye mapenzi ina maana mkeo atagegedwa na nani? kama sio majini
 
duu maprocess yooote hayo kisa nataka pacha tu
Kama ndio hvyo bas mapori yote yangejaa tents na vibanda KWA ajili ya kuwahifadhi hao watu wanatafuta hiyo miti, maana mijini cdhani km IPO na hata km IPO hzo proces ulizozielekeza kila MTU atakuona unawanga!
 
Back
Top Bottom