Kwa wanaotaka Leseni za biashara, TIN na kufungua Kampuni

Kwa wanaotaka Leseni za biashara, TIN na kufungua Kampuni

SectionTwenty

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2013
Posts
675
Reaction score
614
section20_tz-20180302-0001.jpg
Section 20 inawakaribisha watu wote wenye biashara zao binafsi au kampuni ambao hawana TIN au leseni ya biashara kuweza kufanyiwa mchakato wa kuzipata.

Na pia kwa wale wote wenye biashara za zamani na wanahitaji kurenew leseni pia mnakaribishwa

Huduma nyingine zinazotolewa na section 20 ni pamoja na

1. Kufungua kampuni mpya.
Hii inajumuisha usajili kamili wa kampuni brela, kufungua TIN ya kampuni TRA, kufanya makadirio ya biashara ya mwaka, kupata Tax Clearance na Leseni ya biashara.

2. kufungua jina la biashara (business name) Individual/Partnership
Hii inahusisha usajili kamili na certificate kutoka Brela. Kufungua TIN kwa anaemiliki jina hilo la biashara (kama hana TIN), kupata Tax Clearance na leseni ya biashara.

3. Kupata VRN (Vat Registration Number)
Kwa mtu binafsi au kampuni inayohitaji akuwa na Vat.

4. Kufanya hesabu na malipo ya VAT Return, PAYE na SDL

5. Kutengeneza Annual Return of Income

6. Tunatoa pia msaada kwa jambo lolote linalohusiana na masuala ya kodi.

Wasiliana nasi kwa njia zifuatazo

Blog : www.section20tz.blogspot.com
Email: [email protected]
Phone: 0714499248
WhatsApp : 0659337348

Karibuni sana
 
Mm nataka kufunga biashara,, maana hamna kitu nacho pata ni zero kabisa, badala ya faida na kula mtaji?
 
Mm nataka kufunga biashara,, maana hamna kitu nacho pata ni zero kabisa, badala ya faida na kula mtaji?
Yeah inawezekana mkuu na ni vizuri uwaandikie barua tra ya mkoa wako ya kufunga biashara na kisha ubadilishe matumizi ya tin yako kutoka business iwe non-business
 
Karibuni, huduma zinaendelea.. Ofisi zetu kwa sasa zimehamishwa.. Kwa sasa tunapatikana Makumbusho nyuma ya derm house/ ofisi ya tigo makao makuu... Simu namba 0714499248
 
Je naweza pata TIN na leseni ya biashara bila kuwa na biashara? Nahitaji ili niweze kusajili line za tigopesa na mpesa
 
Back
Top Bottom